FT: ASEC Mimosas 3-0 Simba SC | CAF Confederation Cup | Stade de L' amitie General

FT: ASEC Mimosas 3-0 Simba SC | CAF Confederation Cup | Stade de L' amitie General

Mashabiki Wasimba ni mabingwa kwa unafiki,hamna msimamo wa kile mnachokiongea mnakuwa kama homa za vipindi. Siku mkishinda match mnasifia timu yenu kuanzia kocha mpaka Wachezaji wote ikitokea mkifungwa mnabadilika mnasema timu yote mbovu na kocha hafai.
Mashabiki Wa timu ,zote wapo hivyo.
 
Back
Top Bottom