Mashabiki Wa timu ,zote wapo hivyo.Mashabiki Wasimba ni mabingwa kwa unafiki,hamna msimamo wa kile mnachokiongea mnakuwa kama homa za vipindi. Siku mkishinda match mnasifia timu yenu kuanzia kocha mpaka Wachezaji wote ikitokea mkifungwa mnabadilika mnasema timu yote mbovu na kocha hafai.