FT: ASEC Mimosas 3-0 Simba SC | CAF Confederation Cup | Stade de L' amitie General

Mimosas nimewasifu kitu kimoja na SSC inabidi wakichukue kutumia nafasi wanazopata kutumia vizuri makosa ya mpinzani wao ule msemo wa mpira ni mchezo wa makosa Mimosas wanautumia vizuri sana na umewalipa hadi sasa SSC wamefanya makosa wameadhibiwa ipasavyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…