Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Goooooal kibu anaturudishia goal la tatu hapa
Simba 3
Mimosas 3
๐๐ Kibu....! Kibuyu? ๐๐๐
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Goooooal kibu anaturudishia goal la tatu hapa
Simba 3
Mimosas 3
Hawa wanafiki sana,leo wanamponda Mohammed Hussein na pia wanauliza kwanini Boko yupo benchHaya malalamiko yanatakiwa yamfikie haraka kule kwenye ile thread yake maalum kabisa mliyo muanzishia!
[emoji16][emoji16] Malalamiko fc! Ingekuwa Bongo, mngemsingizia GSM [emoji16][emoji16][emoji16]
Ndio maana hata wachezaji wetu kina bocco wanafaa kuchunga mifugo ya mayele tu.Simba inacheza mpira mbovu wa kiwango cha chini kama Yanga
Approach yetu kwenye huu mchezo imetugharimu......tupo njia panda kwa kweli.Simba inacheza mpira mbovu wa kiwango cha chini kama Yanga
Uliyeenda shule kusomea maarifa mbona ushakula 3 - 0 hadi sasa hivi [emoji849][emoji87]Shule ulienda kusomea ujinga
Bado 3.Hahahaha muwe adabu makolo 3-0 bado 2
Si tunapitia shortcut ya buza pale mpaka kwa uchochoro lwanga?Approach yetu kwenye huu mchezo imetugharimu......tupo njia panda kwa kweli.
Utopolo huwezi kuelewa. Kila mmoja anashinda kwake ni hicho tu utopolo.Yeah simba wanapitia kwa mpalange mpaka kariakoo.
Tunakunywa beermnasubiri nini kwenda kulala sasa
Kama itabaki hivyo, mechi za mwisho itakuwa kams fainali
Tulikubaliana Kuwa Hii Simba Inaenda Kuchukua Ubingwa Wa Shirikisho [emoji854]
Leo ni leo msema ya zamani mchawi.Utopolo mmenyanyua Midomo, Mmesahau mara hii mlipigwa nje ndani na Rivers...!
Na CAF wasipokuwa makini kuna matokeo yatapangwa kupitia marefariiKama itabaki hivyo, mechi za mwisho itakuwa kams fainali