FT: ASEC Mimosas 3-0 Simba SC | CAF Confederation Cup | Stade de L' amitie General

Tatizo kubwa kabisa la Simba ni kocha lakini pia timu haina pre-match analyst mzuri. Kocha haeleweki na hayuko consistent kwenye vikosi vyake. Kocha pia hajui kuwapanga wachezaji wake wanapokuwa na mpira na wasipokuwa na mpira. In short sijajua huwa anawafundisha nini? Asec tuliwafunga Taifa, lakini hakuna ubishi jamaa wanajua na wanaonekana wanafundishwa. Pia nna wasiwasi kama Simba Wana mtaalam mzuri wa saikolojia.
 
Timu dhaifu. Makocha washapita wengi lakini ugenini matokeo ni yaleyale
 
Kesho tukishinda utakuja na kauli mpya!! Tukubali Leo tumewezwa basi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…