FT: ASEC Mimosas 3-0 Simba SC | CAF Confederation Cup | Stade de L' amitie General

Hivi uto mnapataga wapi ujasiri wakuicheka Simba ikifungwa kimataifa ? Wakati nyie makundi hamjawahi kusogeza pua zenu?
 
Watani zetu Utopolo ,wenginwenu mpira hamjui,hili kundi ni gumu sana!
Na viwango vya Timu vinalingana....Ndio maana kosa dogob tu umeliwa!
Hawa tuliwafunga 3 hapa...
Leo wametupatia...This is Football !
All in all Simba nakwend Robo Fainali!
Nannyie mashabiki wa Simba ,acheni utoto...Hili ndio soka la Afrika ...Kila mtu ana kwake!
Kwenye hatua hii ya makundi hii ndio Falsafa ya Afrika ....makosa madogo.ndio yana amua
 
Kang'ombe kenyewe kana kwashakor
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…