Hivi uto mnapataga wapi ujasiri wakuicheka Simba ikifungwa kimataifa ? Wakati nyie makundi hamjawahi kusogeza pua zenu?Wachezaji wa Simba wote mkirudi Kuna kazi ya kusambaza maziwa ya ng'ombe Dar es salaam nzima,
Hadi mikoani tunatuma.
Msijisahaulishe hamjui Kama Five stars striker Mayele anafuga[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]