FT: ASEC Mimosas 3-0 Simba SC | CAF Confederation Cup | Stade de L' amitie General

FT: ASEC Mimosas 3-0 Simba SC | CAF Confederation Cup | Stade de L' amitie General

Kwani Simba Kama akifuzu hatua ,inafuata hatua gani....... au Basi acheni tu
 
Huwa sibadilishi. Siku zote kilio changu ni hicho. Huyu kocha sijawahi kumuamini hata siku moja. Kocha hafundishi team positioning, hafundishi team penetration, kukaba. Lakini pia waachane na ujinga wa gym, wafundishwe mbio wajinga hawa.
Tulia unazan uko play station hapa, wakati mnashinda kwenu mlijiona madrid NB. kufungwa hamjaanza leo
 
Dah roho ya kichawi mbaya sana, yaani wenzio wameshapigwa tstu lakini kuna bado kuna kahasira fulani hivi kanakuja kwenye nafsi kuwa hawa mabwege kwanini hawafungi la nne
 
Back
Top Bottom