Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Vipi kuhusu nyie vidimbwi ?Makolo kila mwaka wakishiriki Kimataifa lazima watie aibu kwa kupigwa nyingi
Huwa mnashiriki nini ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi kuhusu nyie vidimbwi ?Makolo kila mwaka wakishiriki Kimataifa lazima watie aibu kwa kupigwa nyingi
Huwa sibadilishi. Siku zote kilio changu ni hicho. Huyu kocha sijawahi kumuamini hata siku moja. Kocha hafundishi team positioning, hafundishi team penetration, kukaba. Lakini pia waachane na ujinga wa gym, wafundishwe mbio wajinga hawa.Kesho tukishinda utakuja na kauli mpya!! Tukubali Leo tumewezwa basi.
ATAMBA MKUU,nyie kila mwaka mnashinda mengi ugeniniMakolo kila mwaka wakishiriki Kimataifa lazima watie aibu kwa kupigwa nyingi
Mtaongea yote leo,uwanja ni wenuNini Palee...Penaaaaaaaaaalty..!!, Angalia Hiyoo Babra Anachukua Jukumu La Mkwaju Wa Penalty, Gonzalez Babraaaaaaaa! [emoji460] 5-7
Walevi wa Rivers Utd"Kwa mkapa hatoki mtu si kama tulivyowafanya Jwaneng " walisikika walevi wakijadiliana
Tatu nungezEndeleeni kutupa updates
Nini pua ,hasta pumbu!Hivi uto mnapataga wapi ujasiri wakuicheka Simba ikifungwa kimataifa ? Wakati nyie makundi hamjawahi kusogeza pua zenu?
Tuambie lini Yanga alikutana na kipigo cha hivi, yaani hapo pakiti tayari imeishaSimba inacheza mpira mbovu wa kiwango cha chini kama Yanga
Hahaha. Kapombe mzuri nimesema madhaifu yake na nikamlinganisha na Mwenda.Leo kweli wa kumsema Kapombe, mkuu? Beki lenye maassist huko shirikisho?
Tulia unazan uko play station hapa, wakati mnashinda kwenu mlijiona madrid NB. kufungwa hamjaanza leoHuwa sibadilishi. Siku zote kilio changu ni hicho. Huyu kocha sijawahi kumuamini hata siku moja. Kocha hafundishi team positioning, hafundishi team penetration, kukaba. Lakini pia waachane na ujinga wa gym, wafundishwe mbio wajinga hawa.
Anaenda hatua ya makundi kombe la mapinduziKwani Simba Kama akifuzu hatua ,inafuata hatua gani....... au Basi acheni tu