FT: ASEC Mimosas 3-0 Simba SC | CAF Confederation Cup | Stade de L' amitie General

Hii timu inaliabisha Taifa aisee! Hakuna timu hapa! Yaani Manula bora akajiunga tu Yanga msimu ujao, ili aondokane na haya mateso kutoka kwa mabeki wake wazee.
 
Simba inamtia mtu goli 4 na hapo ndipo CAF itabidi ifanye kikao kifupi kujadili maajabu hayo ikiwezekana mashindano yasitishwe na ubingwa apewe mnyama
[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…