TunapitaMpite kwenda wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TunapitaMpite kwenda wapi?
Pombe mbaya wajameni hata wewe unakunywa gongo?Simba inamtia mtu goli 4 na hapo ndipo CAF itabidi ifanye kikao kifupi kujadili maajabu hayo ikiwezekana mashindano yasitishwe na ubingwa apewe mnyama
Yale yaliyomkuta Simba Club bingwa naona yakijirudia pale kwa Mkapa.
Angalia hao jamaa wanavyocheza linganisha na tunavyocheza.Tulia unazan uko play station hapa, wakati mnashinda kwenu mlijiona madrid NB. kufungwa hamjaanza leo
Kama kupita kwenda kariakoo sawaTunapita
Hili kundi tuliliona jepesi ila limekuja kua gumu sana.Bado timu zote 4 zina nafasi ya kupita, muhimu ni kujipanga nyumbani tushinde.
It is not over until it's over
Tunapita ila waombeeni akina Kisinda wapite maana wana hali mbayaMpite kwenda wapi?
Tunapita na tutafika huko unapopaotaga na hujawahi hata kupanusa.Kama kupita kwenda kariakoo sawa
Atarudi na Bendi ya Malalamiko ....Huyu kocha Pablo asirudi na timu.
Huyo ndo kawaharibia shooBerkane nae kachomoaa...
It's 2-2
Tupe msimamoBerkane nae kachomoaa...
It's 2-2