Mzee Wa Kazi Chafu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2022
- 2,245
- 4,966
Cha Ajabu Ni Kwamba Timu Yetu Tunaitarajia Ichukue Ubingwa Shirikisho Na Makombe Ya ASFC Na NBC Premier League Inapigwa 3 Kavu Away...Tunapata Hofu Na Timu Yetu Juu Ya Ubingwa Wa Shirikisho Afrika Na Tunaona Ayubu Sisi Mashabiki Mulibwanji Huku Mtaani..Kwani cha ajabu nini hapo ikiwa nao huku walisha kalia vitatu?