Basi tufute la kwanzaBahati mbaya sana ni Simba angekuwa Yanga Uzi ungejaa mate huu
Wameingilia mazoezi ya WydadHawa wakulima Vipi tena?
Huoni aibu kusifia magoli ya kijinga kias hiki?mchezaji anafanyiwa faul mnaenda kufunga?Niliwaambia Baleke tumjadili mkabisha. Haya sasa hatrick hiyo
Game ikiwa na matokea fulani game plan inabadilika,so usicomment tu kujifurahishaBasi tufute la kwanza
Sasa ulitaka wasimame wamsaidie refa kupuliza kipenga? Hama sengerema utopoloHuoni aibu kusifia magoli ya kijinga kias hiki?mchezaji anafanyiwa faul mnaenda kufunga?
Wakati unaendelea kuulizia la kwanza, linaingia la pili. Ukiendelea litaingia la tatuVp goli la Simba na Ihefu lililokataliwa Kuna tofauti yoyote?
Ni Kwa akili zako za kishabiki ila siyo uhalisiaWakati unaendelea kuulizia la kwanza, linaingia la pili. Ukiendelea litaingia la tatu
Mechi umeinunua wewe mburukenge. Tulia dawa ikoleeIhefu imeuza mechi
Hichi mnachokifanya leo ni aibu sana kwa timu iliyofika robo club bingwaWakati unaendelea kuulizia la kwanza, linaingia la pili. Ukiendelea litaingia la tatu
Mbona mmeanza kuweweseka mapema sanaIhefu imeuza mechi
Ni aibu kujisifia upuuzi,kulikua Kuna haja gani ya hii mechi kama marefa wamekuja na matokeo yaoSasa ulitaka wasimame wamsaidie refa kupuliza kipenga? Hama sengerema utopolo
Haya watani Kila lenye kheri. CCL Wydad. FA huku nako Azam Yuko mbele yenuKikosi cha Simba SC
Kikosi cha Ihefu SC
View attachment 2579961Dk 1’ Mpira umeanza
Dk 2’ Gooooooooool, Jean Baleke. Simba wanapata bao la kuongoza
Dk 7’ Ihefu wanapata bao, mwamuzi anasema walikuwa wameotea
Dk 13’ Mwenda anapiga krosi, Baleke anapiga kichwa kinaokolewa na kuzaa kona ya 1
Dk 14’ Gooooooool, Jean Baleke anaipa Simba goli la 2 kwa shuti kali la mguu wa Kushoto, Assit ya Kibu Denis
15’ Simba wanaendelea kuutawala Mchezo
20’ Tshabalala anakosa goli la 3, refa anapuliza filimbi kuwa kamchezea faulo kipa
21’ Simba wanafanya shambulizi la kushitukiza, mpira wa mwisho unamgonga refa shambulizi linakufa
22’ Ihefu wanashambulia, Aishi Manula anadaka
24’ Kibu Denis anapoteza mpira wa Shambulizi la Kushitukiza walilofanya Simba
26’ Saido anapiga shuti, linadakwa na kipa Shaban Kado
Tuliwambia atafunga sana mkatuona nchumaliJiNi Baleke