FT| ASFC: Simba SC 5-1 Ihefu SC | Azam Complex Stadium | Aprili 7, 2023

FT| ASFC: Simba SC 5-1 Ihefu SC | Azam Complex Stadium | Aprili 7, 2023

Sasa ulitaka wasimame wamsaidie refa kupuliza kipenga? Hama sengerema utopolo
Ni aibu kujisifia upuuzi,kulikua Kuna haja gani ya hii mechi kama marefa wamekuja na matokeo yao
 
Kikosi cha Simba SC

Kikosi cha Ihefu SC
View attachment 2579961Dk 1’ Mpira umeanza
Dk 2’ Gooooooooool, Jean Baleke. Simba wanapata bao la kuongoza
Dk 7’ Ihefu wanapata bao, mwamuzi anasema walikuwa wameotea
Dk 13’ Mwenda anapiga krosi, Baleke anapiga kichwa kinaokolewa na kuzaa kona ya 1
Dk 14’ Gooooooool, Jean Baleke anaipa Simba goli la 2 kwa shuti kali la mguu wa Kushoto, Assit ya Kibu Denis
15’ Simba wanaendelea kuutawala Mchezo
20’ Tshabalala anakosa goli la 3, refa anapuliza filimbi kuwa kamchezea faulo kipa
21’ Simba wanafanya shambulizi la kushitukiza, mpira wa mwisho unamgonga refa shambulizi linakufa
22’ Ihefu wanashambulia, Aishi Manula anadaka
24’ Kibu Denis anapoteza mpira wa Shambulizi la Kushitukiza walilofanya Simba
26’ Saido anapiga shuti, linadakwa na kipa Shaban Kado
Haya watani Kila lenye kheri. CCL Wydad. FA huku nako Azam Yuko mbele yenu
 
Back
Top Bottom