Nas Mapesa
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 5,286
- 5,421
Mwanaume wao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
April 16, is just around the corner.
Hiz sifa sasaChuma ya 4
Nakumbuka ile, alafu wakajiona ndio waooooKuna watu mechi kama hii waliihita ya kisasi ilikuwa mpute mpute mpaka wanapata bao 1 walikuwa wamechoka sana
Mkuu mbona umekasirika haha cha moto kutoka wapi sasa mbona tunatishana..Piteni hata kwa kudhurumu ila cha moto mtakiona
Nenda ukashitaki FIFA mchawi mkubwa weweGoli la offside upande wa simba linakubaliwa. Goli la aina hiyo hiyo upande wa Ihefu, linakataliwa!
🤣🤣🤣Mkuu mbona umekasirika haha cha moto kutoka wapi sasa mbona tunatishana..
Mwaka huu Simba lazima ikutoe bawasiriUko sahihi kabisa. Ingekuwa ndiyo Yanga wamebebwa kiasi hiki; muda huu zingetawala kelele za bahasha.
Ila kwa sababu ni wao, watajifanya hawajaona kilichotokea.
WasaidieHawa wakulima Vipi tena?
Walifanya promosheni kubwa na mashabiki wakajua hapa ushindi ni kuanzia bao 3Nakumbuka ile, alafu wakajiona ndio waoooo