Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wengi wa wadada walitamani leo eti Ihefu ishinde kisa muda wa mavuno ya mpunga umefika so chapaa imetawala Usangu na Ibaruku nzima, wengi waende kule under the congratulation IHEFU's reason while they have their motive behind🤣🏃🏃🏃🏃🏃Hata kipenzi changu Shadeeya simuoni, hebu Bantu Lady muite huyo mrembo kuna Jini Baleke huku linasumbua wakulima wa mpunga
Robo ya michuano hiyo ni sawa na ya FA ambayo inachezwa muda huuCAFCC....tena ameongoza kundi
Hamkosagi sababu, Yale mnayoyafanyaga utoo mnajaribu kuwalinganisha nawa EAST AFRICAN FOOTBALL GIANT?🤣🤣Yan mm nkaangalie mech ambayo tayar ihef Kala hela?
Hivi kina Okwa na Akpan wamekatazwa kucheza dhidi ya Simba kimkataba?Yacouba Soigne
Matunda ya Yanga hayo
Naona Ihefu imekusanya wakongwe, namwona kisiki Nyoni lakini Leo kawa mlenda tuu🤣🤣Shaban kado Bdo anacheza aisee Miaka mingi kweli
Dawa yenu iko njianI hakuna ujayanti wala nini tutakutana tuHamkosagi sababu, Yale mnayoyafanyaga utoo mnajaribu kuwalinganisha nawa EAST AFRICAN FOOTBALL GIANT?🤣🤣
Mmmh sijajua lakini hiyo ni falsafa ya kishamba sana na mara ya mwisho niliiona kwa Yanga.Hivi kina Okwa na Akpan wamekatazwa kucheza dhidi ya Simba kimkataba?
Na kule Morocco akayafanye haya haya Mtani. 🤣🤣🤣
Yes tutakutana and in that day We gon' have a final word between ourselves broSawa yenu iko njia I hakuna ujayanti wala nini tutakutana tu
Ndio, hawawez kucheza sababu ya muingiliano wa maslahi. Mkopo huo, wangefungwa hizo lazima wangelaumiwa kuuza.Hivi kina Okwa na Akpan wamekatazwa kucheza dhidi ya Simba kimkataba?
Simba hufanya hivyo, hata yule kipa Jeremia Kisubi alipokopeshwa Mtibwa walimbanaMmmh sijajua lakini hiyo ni falsafa ya kishamba sana na mara ya mwisho niliiona kwa Yanga.
Sidhani kama Simba watakuwa walitoa masharti hayo
Ni Azam Complex mkuuIle Mikelele Ya Lupaso... IHEFU wangechanganyikiwa.!
Mtani, umelisikia jini limevamia mashambani mara 3Na kule Morocco akayafanye haya haya Mtani. 🤣🤣🤣