FT| ASFC: Simba SC 5-1 Ihefu SC | Azam Complex Stadium | Aprili 7, 2023

FT| ASFC: Simba SC 5-1 Ihefu SC | Azam Complex Stadium | Aprili 7, 2023

Hata kipenzi changu Shadeeya simuoni, hebu Bantu Lady muite huyo mrembo kuna Jini Baleke huku linasumbua wakulima wa mpunga
Wengi wa wadada walitamani leo eti Ihefu ishinde kisa muda wa mavuno ya mpunga umefika so chapaa imetawala Usangu na Ibaruku nzima, wengi waende kule under the congratulation IHEFU's reason while they have their motive behind🤣🏃🏃🏃🏃🏃
 
Awa ihefu naona washalamba mpunga kiroho safi, Mbona mechi na yanga uwa wanauma meno na wanakaza hasa, imekuwaje leo wanacheza kama vile ni timu ya ndondo cup?
 
Mmmh sijajua lakini hiyo ni falsafa ya kishamba sana na mara ya mwisho niliiona kwa Yanga.

Sidhani kama Simba watakuwa walitoa masharti hayo
Simba hufanya hivyo, hata yule kipa Jeremia Kisubi alipokopeshwa Mtibwa walimbana
 
Back
Top Bottom