Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Ila Yanga ina kikosi kipana aisee! Ingekuwa ndiyo timu nyingine, isingejaribu kumuacha nje mchezaji kama Fiston Kalala Mayele.Karibu tena upate burudani ya soka tamu kutoka kwa Wananchi..
Ni robo fainali ya Azam federation cup baina ya Machampioni watetezi Yanga dhidi ya Geita Gold kutoka mkoani Geita.
Mchezo huu utapigwa katika Dimba la Azam huko Chamazi na utaanza majira ya saa 2.00 usiku.
Je nani kuibuka mbabe? Majibu yatapatikana baada ya dakika 90.View attachment 2581286View attachment 2581289