FT: ASFC | Yanga S.C 1-0 Geita Gold F.C | Chamazi Complex Stadium | 08.04.2023

Ila Yanga ina kikosi kipana aisee! Ingekuwa ndiyo timu nyingine, isingejaribu kumuacha nje mchezaji kama Fiston Kalala Mayele.
 
Ukitaka uthibitisho kuwa Yanga amekuwa anatembelea nyota ya Simba, angalia game hii ya leo.
 
Huyu Mzize hana tofauti na wale waliomkana Kristo jana kwa woga au kwa vipande vya fedha. Atajua hajui.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…