Kwahiyo mnataka penalty?Hii ya kutoa maamuzi ya hovyo ya kuinyonga Yanga Kwa makusudi ndio maigizo yenyewe
Hapana
Subirieni mapumziko mkafanye nao biashara kwenye dressing rooms, huenda wakawaachia mpate chochote kitu.Hapana
Uzuri tulianza kutoa Hela Kwa Simba mechi ya kwanza ya ufunguzi wa ligi[emoji23][emoji23][emoji23], kwaio haitakuwa ajabuSubirieni mapumziko mkafanye nao biashara kwenye dressing rooms, huenda wakawaachia mpate chochote kitu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio mkawape Geita hizo hela ili mshinde, vinginevyo sioni dalili zozote hapa.Uzuri tulianza kutoa Hela Kwa Simba mechi ya kwanza ya ufunguzi wa ligi[emoji23][emoji23][emoji23], kwaio haitakuwa ajabu
Kama Simba walizipokea kwanini Geita wazikatae? Au mnawaonea Wivu[emoji23][emoji23]Ndio mkawape Geita hizo hela ili mshinde, vinginevyo sioni dalili zozote hapa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hamna upinzani wowote wanaotoa. Ni kwamba nyie leo ni wabovu.Geita wametoa upinzani mkali Kwa Yanga.
Au hawajashibayanga wacheni kulegalega