FT: ASFC | Yanga S.C 1-0 Geita Gold F.C | Chamazi Complex Stadium | 08.04.2023

FT: ASFC | Yanga S.C 1-0 Geita Gold F.C | Chamazi Complex Stadium | 08.04.2023

GSM wanasubiri wakayajenge na hawa wachimba madini
 
Hawa Geita wamesahau kuwa kipindi cha pili huwa ni cha ushindi Kwa Yanga?
 
Gongowazi wakishinda watu wanasema bahasha
Madunduka wakishinda wanasema ball linatembea…

Kwaiyo ktk haya mashindano yetu ya nchini Gongowazi hawana haki ya kushinda bali ni madunduka tu ndio wenye haki ya kushinda?.
 
Screenshot_20230408-205328.png
 
Back
Top Bottom