Walikula ugali na sukariAu hawajashiba
Nahuku upo?
Mayele, Aziz K na Jesus Moloko wameingia
Nini kimetokea?Refarii vipi Tena? Umewapa cha kusema Hawa makolo
Baada ya yale maigizo ya Jana, Sasa Leo ndio kuna mpira. Yanga 4-1 Geita gold
Kwa hiyo?Yanga 1-0 Geita Gold
Kama ambavyo ZUWENA FC huwa wanabebwaUto wameanza kubebwa
Kocha kaona maji yamezidi unga akamuingiza, Hii ngoma ingeisha 0-0Ila Yanga ina kikosi kipana aisee! Ingekuwa ndiyo timu nyingine, isingejaribu kumuacha nje mchezaji kama Fiston Kalala Mayele.