Yanga kiwango kimeshuka mno, hii siyo siri. Ni ngumu kuwafunga lakini ni ngumu pia kupata ushindi.Hii team wasijisahaulishe kitu iko nacho ni kocha ukiondoa Nabi hapo team lazima ifanye utumbo Kaze ni ziada
Viongozi wao ndio kabisa wako hapo sababu ya GSM nje ya hapo ni hawana sifa yoyote kuongoza yanga
Fountain Gate wamepewa pesa sawa na yanga baada ya kushinda huko kwa madibaUchaguzi ujao ugombee ili uwe kiongozi bora, badala ya kulalamika tu.
Halafu siku mkifungwa, mnaanza kupiga kelele za kumktaa Robertinho, na kumtaka Mgunda na Matola!!Mtatamani kwanini msingetolewa na geita katika hatua hii..subirini mje kuingia kwenye mfumo wa Robertinho muone kama mama hamjaitamka ng'ang'a
Tayari mkuu, hata kule caf tayari tumepenyeza bahasha ndio maana tunaanzia ugeniniWazee wa bahasha mna uhakika wa mpaka fainali au mmeshatoa advance ?
Waache ubaguzi bwanaVitu vingine ni very minor, I'm Christian ila I don't care
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Nyie mna bahasha duble duble kutoka kwa Raja wengine wakichukua inakua nongwaWazee wa bahasha mna uhakika wa mpaka fainali au mmeshatoa advance ?
Jaribu kufafanua kidogo, ili nifahamu kama kuna shida yoyote ile!Fountain Gate wamepewa pesa sawa na yanga baada ya kushinda huko kwa madiba
Aleko mukilisitu kolo[emoji196][emoji196]mzee wa bwaksi samalekooo
Hao ni form four failures wanatambulika kama resettersWapo robo fainali ya CAFCC usisahau hilo....😂😂
Shida hakuna Ila ninakujuza tuJaribu kufafanua kidogo, ili nifahamu kama kuna shida yoyote ile!
Wamepewa pesa sawa na walizopewa Fontaine GateHao ni form four failures wanatambulika kama resetters
kwamba yeye ni mdogo?Shida hakuna Ila ninakukuza tu
Tarehe 16 sio mbaliYanga kiwango kimeshuka mno, hii siyo siri. Ni ngumu kuwafunga lakini ni ngumu pia kupata ushindi.
Kwani Nabi ni coach wa Azam?Hii team wasijisahaulishe kitu iko nacho ni kocha ukiondoa Nabi hapo team lazima ifanye utumbo Kaze ni ziada
Viongozi wao ndio kabisa wako hapo sababu ya GSM nje ya hapo ni hawana sifa yoyote kuongoza yanga
na tarehe 16 bado wanawabandua, inashangazaHao ni form four failures wanatambulika kama resetters
Fontaine Gate ndio kina nani hao?Wamepewa pesa sawa na walizopewa Fontaine Gate