SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 7,895
- 12,975
Yanga kiwango kimeshuka mno, hii siyo siri. Ni ngumu kuwafunga lakini ni ngumu pia kupata ushindi.Hii team wasijisahaulishe kitu iko nacho ni kocha ukiondoa Nabi hapo team lazima ifanye utumbo Kaze ni ziada
Viongozi wao ndio kabisa wako hapo sababu ya GSM nje ya hapo ni hawana sifa yoyote kuongoza yanga