FT: ASFC | Yanga S.C 1-0 Geita Gold F.C | Chamazi Complex Stadium | 08.04.2023

ratiba ngumu comrade wachezaji wanahitaji kupumzisha miili
 
Kama hukuwepo leo umekuja kuchungulia namna khamsa inavyoandaliwa?
Niko kwenye maandalizi ya mwisho mwisho ya Easter mtani. Siwezi jificha Yanga nawaaminia, huwa hawatuangushi na tumeshawaombea. Wanafanya maajabu tu.
 
Niko kwenye maandalizi ya mwisho mwisho ya Easter mtani. Siwezi jificha Yanga nawaaminia, huwa hawatuangushi na tumeshawaombea. Wanafanya maajabu tu.
Mkazane. Kuroga kufunga na kusali naona yale ya may 21 -2012 yanawezajirudia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…