SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 7,895
- 12,975
Derby ni mpira wa kukamiana zaidi ila mkikaa vibaya tena kwa mpira kama huu wa leo au ule wa Lubumbashi, mkono unawahusu ili muwe na safari njema ya Nigeria.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Derby ni mpira wa kukamiana zaidi ila mkikaa vibaya tena kwa mpira kama huu wa leo au ule wa Lubumbashi, mkono unawahusu ili muwe na safari njema ya Nigeria.
Mkuu hivi ukiwa Yanga lazima uwe muongo muongo kama CCM?kwa yanga hii mke wa nini sasa?
ratiba ngumu comrade wachezaji wanahitaji kupumzisha miiliTumeshinda ila tumeonesha kiwango duni sana, hakukuwa na fighting Spirit kabisa, yaani wachezaji walikuwa wanacheza alimradi muda uishe., Sijui benchi la ufundi waliidharau mechi?
Anyway ngoja tuone iyo jumaane dhidi ya kagera sugar timu itacheza vipi
pombe mbaya sanaDerby ni mpira wa kukamiana zaidi ila mkikaa vibaya tena kwa mpira kama huu wa leo au ule wa Lubumbashi, mkono unawahusu ili muwe na safari njema ya Nigeria.
Kama hukuwepo leo umekuja kuchungulia namna khamsa inavyoandaliwa?Hongera Yanga💛💛💛💛💛💛💛
🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰
mkuu mimi ni yanga damu tu huko kwa ccm hapanaMkuu hivi ukiwa Yanga lazima uwe muongo muongo kama CCM?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu hivi ukiwa Yanga lazima uwe muongo muongo kama CCM?
Mabinti wa shule ya sekondari walenda kiwakilisha tz kwenye sokaFontaine Gate ndio kina nani hao?
Kwahio unawaonea wivu dada zako wa Fontain Gate?Wamepewa pesa sawa na walizopewa Fontaine Gate
Mabinti wa shule ya sekondari walienda kuiwakilisha tz kwenye soka huko southFontaine Gate ndio kina nani hao?
Niko kwenye maandalizi ya mwisho mwisho ya Easter mtani. Siwezi jificha Yanga nawaaminia, huwa hawatuangushi na tumeshawaombea. Wanafanya maajabu tu.Kama hukuwepo leo umekuja kuchungulia namna khamsa inavyoandaliwa?
Yah nitafanya hivyoUchaguzi ujao ugombee ili uwe kiongozi bora, badala ya kulalamika tu.
Hapana, nashangaa hawa caf wanavyoleta dharau kwa yangaKwahio unawaonea wivu dada zako wa Fontain Gate?
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Twafuturu yakhee na kigoli chetuuAleko mukilisitu kolo[emoji196][emoji196]
Mkazane. Kuroga kufunga na kusali naona yale ya may 21 -2012 yanawezajirudiaNiko kwenye maandalizi ya mwisho mwisho ya Easter mtani. Siwezi jificha Yanga nawaaminia, huwa hawatuangushi na tumeshawaombea. Wanafanya maajabu tu.
Hawa ni Geita ila huwezi cheza hivi na SingidaYanga kiwango kimeshuka mno, hii siyo siri. Ni ngumu kuwafunga lakini ni ngumu pia kupata ushindi.
Mkifungwa mnasema mmekamiwa, mkishinda mnaujuaDerby ni mpira wa kukamiana zaidi ila mkikaa vibaya tena kwa mpira kama huu wa leo au ule wa Lubumbashi, mkono unawahusu ili muwe na safari njema ya Nigeria.
unaruhusiwa kuongeza hela kama unaona haitoshiHapana, nashangaa hawa caf wanavyoleta dharau kwa yanga