mzee wa bwaksi
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 2,255
- 3,972
Karibu tena upate burudani ya soka tamu kutoka kwa Wananchi..
Ni robo fainali ya Azam federation cup baina ya Machampioni watetezi Yanga dhidi ya Geita Gold kutoka mkoani Geita.
Mchezo huu utapigwa katika Dimba la Azam huko Chamazi na utaanza majira ya saa 2.00 usiku.
Mchezo umeanza
5' Yanga wamepiga shuti langoni kwa GEITA mara moja
10' Yanga wanaendelea kufanya mashambulizi makali kwa wapinzani wao
18' Geita nao wanajipanga lakini wachezaji wa Yanga wanaonesha kuwa imara
29' Timu zinapeana nafasi ya kumiliki mpira kwa zamu
30' Tuisila Kisinda wa Yanga anacheza faulo
39' Rafael wa Geita anapata kadi ya njano kwa kumchezea faulo Kisinda karibu na boksi.
41' Inapigwa faulo inatoka nje
45' Mapumziko, matokeo ni 0-0
Kipindi cha pili kimeanza
Yanga wanafanya mabadiliko, anaingia Mayele, Moloko na Azizi Ki
46' Manyasi wa Geita anapata kadi ya pili ya njano hivyo kuwa nyekundu kwa kumvuta Aucho
57' Mayele anaipatia Yanga goli la kwanza
Bernard Morrison ameingia baada ya kuwa nje ya Uwanja kwa muda mrefu
73' Mayele anakosa nafasi ya wazi akiwa karibu na lango la Geita
85’ Yanga wanapata faulo nje ya eneo la 18
85' Azizi Ki anapiga shuti linapanguliwa na kutoka nje inakuwa kona
90' Zinaongezwa dakika 3
FULL TIME

Je nani kuibuka mbabe? Majibu yatapatikana baada ya dakika 90.