mzee wa bwaksi
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 2,255
- 3,972
- Thread starter
- #41
Mmemuona refarii [emoji848][emoji848][emoji848]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kawaida sana kwa timu za level moja zikikutanaGeita wanatoa upinzani mkubwa Kwa Yanga, tofauti na wale walionunuliwa jana
Tuna subiria aondoke na mpira vs Yanga na Wydad.Mpaka dakika hii jana, Baleke alikuwa ameshaondoka na mpira
Yanga ndio mbabe wa timu zote nchini [emoji1241] na Simba akiwemo, sijui ulitaka kusemaje labdaNi kawaida sana kwa timu za level moja zikikutana
Kwani hizo ndiyo timu pekee duniani?Tuna subiria aondoke na mpira vs Yanga na Wydad.
Amepewa bahasha na friends of Simba[emoji23]Huyu refa wa wapi?
Mmesema leo hatutashuhudia maigizo uwanjani, kumbe mnayataka?Refarii amewanyima Yanga penati ya wazi kabisa[emoji848]
Hii ya kutoa maamuzi ya hovyo ya kuinyonga Yanga Kwa makusudi ndio maigizo yenyeweMmesema leo hatutashuhudia maigizo uwanjani, kumbe mnayataka?
Shindeni hizo goli nne mlizokuwa mnasema.
Sent using Jamii Forums mobile app