dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,466
- 18,206
Safi Sana hi gamu Ni muhimu sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
vita bado ni ngumuu na aziz kiFei toto..
Haha bado mdavita bado ni ngumuu na aziz ki
Azam 3,haya furahi sasa simba hachezi club bingwaMbona ham'update au na nyie ni mikoa fc
Ni huzuni kwakwel 🤣Azam 3,haya furahi sasa simba hachezi club bingwa
Kolo unaandika huku unataka kulia.Azam 3,haya furahi sasa simba hachezi club bingwa
Si nduo hapo wakazee kisauti Ni k Sana anakera yule jamaaaAzam shikilieni bomba kwani klabu bingwa hamtaki kucheza?
Mm yanga ila fei apige kwemye mshonoFei toto..
FeiNani kafunga goli la 4?
Acha tukose kiatu ila cha muhimu Simba wakacheze kombe la shirikisho na wao. Walitoa maneno ya shombo sana eti Yanga inacheza kombe la loser.Mm yanga ila fei apige kwemye mshono