FT: Azam 5-1 Kagera Sugar | NBC PL | Azam Complex | 25/05/2024

FT: Azam 5-1 Kagera Sugar | NBC PL | Azam Complex | 25/05/2024

Azam na yeye kaanza fitna za karakoram hii mechi kuna chochote kitu haiwezekani azam kushinda goli tano.
 
Azam na yeye kaanza fitna za karakoram hii mechi kuna chochote kitu haiwezekani azam kushinda goli tano.
Kwani Coastal union alifungwa ngapi na Azam kwenye FA? Coastal na Kagera ni timu ipi bora? Au kwavile kaivimbia Simba na Yanga ndio umewaona Kagera ni wazuri? Hata mechi ya Dar dhidi ya Yanga, Kagera alikuwa anafungwa magoli mengi tu sema offside za kimakosa zilikuwa nyingi
 
Back
Top Bottom