princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,245
- 18,347
Azam kombe la kwanza ni kukamia Yanga😅Azam kazi yao kukamia yanga ndo malengo yao ligi kuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Azam kombe la kwanza ni kukamia Yanga😅Azam kazi yao kukamia yanga ndo malengo yao ligi kuu.
Wameifinya replay, Conflict of interest.Kumbuka ni simba vs azam(wamiliki wa azam tv) iyo replay nenda simba app utaipata[emoji23]
Bora Siadoo mara 100Saido Joshua 😅😅😅
KIbu angekuwa na muendelezo wa level ya msimu uliopita, angetisha sana kwenye Simba hii. Mutale ni wa kuachwa. Ahoua ni wa kutafutiwa mbadala ila anahitaji muda akue.Pamoja na nguvu na kukimbia kwa KIBU na MUTALE , kama SIMBA ingepata mbadala qallity players ...ingetisha
You are on the right trackItakupoa mechi ikaisha 0-2 au 0-3
Ball cone....?Fabrice NGOMA...anawaweka tena
Simba 2- 0 Ball cone
uwanjani wanaruhusiwa 11 maximum kwa wakati mmojaMbona Mukwala hachezi?
KIbu angekuwa na muendelezo wa level ya msimu uliopita, angetisha sana kwenye Simba hii. Mutale ni wa kuachwa. Ahoua ni wa kutafutiwa mbadala ila anahitaji muda akue.