Mtoe uweke wa kwakoHuyu refa anaua move za Azam kwa makusudi kabisaa
Ingia ukazifufueHuyu refa anaua move za Azam kwa makusudi kabisaa
balaa kwa tabora pungufuAna balaaa huyo
Kuna mtu kaumia?? Tuna daktari /kocha wa viungo mzuri kwa sasa...hakuna kukaa benchi wiki..Ni ama Azam wanatumia nguvu mno au kuna jini majeraha linawanyemelea wachezaji wa Simba
Punguza jazba mkuu, umebet niniUseng(e) anaoufanya umeuona??
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Ww utapata muhaho na ugonjwa wa moyo juu...balaa kwa tabora pungufu
Ingia uchamshe wewe ukate mauno kama fisaliDerby gani hii? Imepoooa kama uji wa mgonjwa!
Nakazia π π ππUnauliza au unakaziaππ
Ni chura kiziwi kabisa...hajasikia hata kelele..Admin amegoma kuweka bao la pili hapo juu au admin ni chura aliechangamka?
mtaichangamsha zamu yenu..Fadlu mbona masabu mengi