FT: Azam FC 0-2 Simba SC | NBC Premier League | New Amaan Complex Zanzibar | Septemba 26, 2024

Ila huu uwanja na wenyewe ni mbovu, sijawahi kukubali toka Mapinduzi ilee. Carpet gumu hilo ndiyo maana timu zote mbili zinashindwa kucontrol mipira
Ukiambiwa mabilioni yaliyomwagwa hapo utashangaa
 
Ya jana yamepita tuseme ya leo. Goli la offside la Ngoma limeinyonga Azam hii si haki ndo maana Simba iko kombe la kinamama
Sijaelewa vizuri, CAF wameanzisha lini mashindano ya wamama? Mama nani na mama nani wamefuzu,kweli nipo nyuma ya mda.
 
Mweee hawa azam mdebwedo kama wazenji wenyewe🤣🤣🤣🤣.
Kocha nae dugi kweli kweli sasa sub zinasubiri mpaka dakika ya 70+
Huyu bekinwao nae anacheza kama vile alikuwa kwenye nyumba ya pdaddy bwana
Labda alishawahi alikwa kwa P.Didy
 
Sijajua kwa dakika chache zilizobaki mkeka utachanika au la!

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…