Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
Hebu weka picha nimtathmini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hebu weka picha nimtathmini
This Simba...Simba which? 😂😂
Kwani ni dkk ya ngapi..
Kufungwa afungwe Azam cola...kuvimba wavimbe utopolo..
mzuri akicheza na tabora pungufuHuyu Aweso naye ni wa kawaida sana kwa SIMBA
Ukiambiwa mabilioni yaliyomwagwa hapo utashangaaIla huu uwanja na wenyewe ni mbovu, sijawahi kukubali toka Mapinduzi ilee. Carpet gumu hilo ndiyo maana timu zote mbili zinashindwa kucontrol mipira
19/07/1977 simba 6 - Utopolo 0mwaka gani hata ujazaliwa mkuu ama ndo unaleta notgham forest kubeba klabu bingwa ulaya
Sijaelewa vizuri, CAF wameanzisha lini mashindano ya wamama? Mama nani na mama nani wamefuzu,kweli nipo nyuma ya mda.Ya jana yamepita tuseme ya leo. Goli la offside la Ngoma limeinyonga Azam hii si haki ndo maana Simba iko kombe la kinamama
Labda alishawahi alikwa kwa P.DidyMweee hawa azam mdebwedo kama wazenji wenyewe🤣🤣🤣🤣.
Kocha nae dugi kweli kweli sasa sub zinasubiri mpaka dakika ya 70+
Huyu bekinwao nae anacheza kama vile alikuwa kwenye nyumba ya pdaddy bwana
Achana tutambe naeHuyu Aweso naye ni wa kawaida sana kwa SIMBA
Kwani magoli yana uhusiano gani na hizo sehemu kuna nyavu humo? Hii kali ya mwakaTimu inaongoza goli 2 za offside ila mda wote wameshika pumbu