John dillinger
JF-Expert Member
- Jun 15, 2020
- 2,207
- 2,593
Unatafuta chaka la kujifichia goli la offside lilikuwa la utopolo janaGoli ni OFFSIDE kabisaaaaaa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unatafuta chaka la kujifichia goli la offside lilikuwa la utopolo janaGoli ni OFFSIDE kabisaaaaaa!
Bado tunaunda kikosi, kila mtu lazima acheze.Fadlu mbona masabu mengi
Acheni kumchosha admin kwa mechi ya ndondo km hii. YANGA BINGWANi chura kiziwi kabisa...hajasikia hata kelele..
Azam wanacheza kungfu leoKuna mtu kaumia?? Tuna daktari /kocha wa viungo mzuri kwa sasa...hakuna kukaa benchi wiki..
Mm siangalii mpira hii second half nimeshatoka kwa Tv
Simba Bingwa...Acheni kumchosha admin kwa mechi ya ndondo km hii. YANGA BINGWA
Shape ya timu imeyumbaBado tunaunda kikosi, kila mtu lazima acheze.
Ongeza sauti mamiiiiSimba Bingwa...
Eti kila akigusa mpira anamchambua. Ushamba tu eti failasofi sijui ndio maniniWatangazani wa Azam na Fei ni kama pichu na kota 😀😀😀
Simba bingwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaOngeza sauti mamiiii
Simba ikiwa haina mpira inacheza vizuri sana...channells zote za Azam zimezibwaShape ya timu imeyumba
Usimlaumu kanogewa na mechiAdmin amegoma kuweka bao la pili hapo juu au admin ni chura aliechangamka?
kama hajampata uharo na ugonjwa wa moyo kwa vipigo mfululizo vya yanga nije nipate mimi niliye wakanda wote mlio uwanjan leo 5 kwa 4Ww utapata muhaho na ugonjwa wa moyo juu...
Hadi tufunge lingineJamani dkk yangapi huko yakheeeee
Kabetia mshaharaIla mods wa leo kiboko sijui alibeti?