FT: Azam FC 0-2 Simba SC | NBC Premier League | New Amaan Complex Zanzibar | Septemba 26, 2024

FT: Azam FC 0-2 Simba SC | NBC Premier League | New Amaan Complex Zanzibar | Septemba 26, 2024

Simba misimu yote mitatu wanaanzu vizuri lakini ligi ikichanganya wanaanza kucheza utopolo tu
 
Simba hawawezi kupiga hata pasi 5 zikakamilika, ukiacha zile goli 2 za offside hamna kitu wanafanya... YANGA BINGWA
 
huu ushabiki utaua watu, yaani povu lote hilo mkuu? 😀😀😀
Chukua marudio ya picha ya video utaona, sio goli halali ni offside ya wazi na wachezaji wa Azam wamenyoosha mikono. Yanga wasikubali tena kuchezeshwa na Sasii ni kolo la wazi. Hafai kabisa.
Mpira ni mchezo wa wazi mtani
 
Kuna watu wakipoteza hivo viporo vyao hata kwa draw watawambana makofi
 
Back
Top Bottom