FT | Azam FC 0-3 Simba SC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 09.05.2024

Nathaniel Chilambo yellow kadi
 
Chasambi bado Sana anakosa utulivu na Hana sharp mind (maamuzi ya haraka haraka na sahihi)
Akipokwa mpira hajisumbui purukushani za kukaba
 
Km penalt ya mchongo aliwapaa, wameshindwa wenyewe ku succeed, offside ya wazi awape tenaa, kajistukiaaa arajigaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Balua Out
Duchu Inn
 
Reactions: 511
kua uwanjani sio sababu sisi tushareplay na tushachora mstari mpira ulipokua unapigwa watu wote walikua onside
Tuone ball.
Tunawaweza hawa
 
๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ