FT: Azam FC 1-0 Simba SC | NBC League, 28/10/2022

FT: Azam FC 1-0 Simba SC | NBC League, 28/10/2022

Amoa

Nado

Nyoni anaondosha

Iddi Nado

Zaiiiiiiiidi

Inagonga mwamba
 
Dan Amoa

Anapewa kadi ya njano

Dakika 63'

Azam 1-0 Simba
 
Ila Azam wanastahili kushinda hii mechi wameonesha utofauti mkubwa sana dhidi ya timu ya Simba. Bahati tu ndio inayoifanya mpaka sasa Simba asiwe amefungwa magoli zaidi ya matatu

Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
 
Kinacho niuma kuna wachezaji wamesha onesha Kushindwa hiii Mechi Kocha Anaendelea kuwang’ang’ania wa Nini?
 
Nado
Nado
Nado

Zaidi
Nado

Kangwa
Nado
Zaidi

Nado
Kangwa
Zaiiidi

Mpira unatoka
 
Onyango
Zimbwe
Onyango

Dakika 67'

Azam 1-0 Simba

Boko anaingia
Habibu Kyombo anatoka
 
Back
Top Bottom