Carasco Putin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 10,644
- 32,375
Hizo hesabu sio za kuanza kupiga katika dakika ya 65Niwakumbushe tu matokeo yakibaki hivi kisha simba akishinda zinabaki point 4 tu
Ulimaanisha matokeo ya 1-1 bila shakaNiwakumbushe tu matokeo yakibaki hivi kisha simba akishinda zinabaki point 4 tu
Refa kmmmmmmmmm.k
Acha matusi aiseee......Dah! Yanga anafinyia kwa ndani Azam anakojoa tu.