FT: Azam FC 2-1 Yanga SC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 17.03.2024

Kibabage goli la pili linapitia kwake! Anaonekana ni beki wa kushambulia zaidi kuliko kukaba!

Yanga isiyo na Aucho+Pacome! Ni Yanga ya kawaida sana! Leo Azam wamejimilikisha kiungo! Fei Toto, Silla na Kipre Jr wako 🔥

I wish Okrah naye angeingia ili kuongeza mashambulizi na pia kumsaidia Mzize na Aziz Kii pale mbele. Hapa tukijitahidi ni sare. Guede!! 😱
 
60' Azi z ki anapiga through pass kwa mzize ..goalkipa wa Azam anaokoa ...anachezewa rafu mbaya na mzize
 
Kibabage goli la pili linapitia kwake! Anaonekana ni beki wa kushambulia zaidi kuliko kukaba!

Yanga isiyo na Aucho+Pacome! Ni Yanga ya kawaida sana! Leo Azam wamejimilikisha kiungo! Fei Toto, Silla na Kipre Jr wako 🔥

I wish Okrah naye anheingia ili kuongeza mashambulizi. Hapa tukijitahidi ni sare. Guede!! 😱
Nimenuna🥺
 
Back
Top Bottom