FT: Azam FC 2-1 Yanga SC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 17.03.2024

FT: Azam FC 2-1 Yanga SC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 17.03.2024

UBUNTU BOTHO
IMG-20240315-WA0493.jpg
 
57' fei toto anachezewa faulo na mchezaji wa yanga...Gamondi kichwa kimeiva kama papai....haamini macho yake
 
58' mpira upo kati ya kiwanja ...Azam wanao...ni syllah..anapiga pasi fyongo hapa .walikuwa 2 against one

Guede anakosa goli hapa
 
Back
Top Bottom