Mkono Mmoja
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 3,359
- 6,568
54' Ki Aziz anakosa bao hapa.....baada ya kazi safi ya mzize
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mamelod tupo tumeona matobo ni mengi. Tumeona goli 12 kwa Mkapa
Na mkijidai kukazana mchomoe mtatoka na majeruhi 7 muwarahisishie Mamelody tarehe 30
Sawa ingiza chama sasa toa pacome huyoMimi ni mwanalunyasi ila naiombea yanga ushindi ili tusogee nafasi ya pili
Sent from my SM-N975U using JamiiForums mobile app
Unaangalia game?Uto bana
Unaangalia mechi ipi?Ingawa ni offside
Acha Dua za hovyo mkuu, mtani akandwe tu🤓Mimi ni mwanalunyasi ila naiombea yanga ushindi ili tusogee nafasi ya pili
Sent from my SM-N975U using JamiiForums mobile app
Ndio ni offside ngoj warudie utaonaUnaangalia mechi ipi?
Tulia sindano itakatikaIngawa ni offside
Majasusi wa Masandawana wapo uwanjani ndio maana Utopolo ameficha makucha.Mamelod tupo tumeona matobo ni mengi. Tumeona goli 12 kwa Mkapa
Mbona Max anacheza vizuri pale katikati. Kwani kosa lake ni nini?Guede atoke tu aingie okrah acheze winga kulia, mzize arudi kati..... Huyu guede walimtoa wapi?
Maxi nae duh
Wakati Uto wanaukimbia uziWanasimba wameanza kuvamia uzi