FT: Azam FC 2-1 Yanga SC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 17.03.2024

FT: Azam FC 2-1 Yanga SC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 17.03.2024

Leo ni tarehe 17, Mechi ya CL tarehe 30 bado kuna siku 13....Iwapo atakuwa hajadanganya umri kuwa ana miaka 21 Pacome ata recover tu..!
 
48' mpira upo na yanga kati ya kiwanja ..zlazam wanaupora...sylla ni mwiba kwa wachezaji wa yanga
 
48'. Yanga wanashindwa kupenya kati ya kiwanja....handball manyama...freekick kuelekea kwa Azam
 
49'...Aziz ki anashindwa kutuliza mpira...fei anaondoka nao...Kipre jr anamchezea faulo bacca...freekick kuelekea Azam
 
Back
Top Bottom