K11
JF-Expert Member
- Oct 15, 2014
- 3,447
- 11,274
Kawapongeze Man u wamemshughulikia adui wenu LiverpoolYanga kwenye midfield tumepwaya sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kawapongeze Man u wamemshughulikia adui wenu LiverpoolYanga kwenye midfield tumepwaya sana
InapendezaYanga kwenye midfield tumepwaya sana
😄 🤣 😂 😆 jamaa anashangilia kweli kuumia kwa PACOME. Huyu namuonaga sana akihojiwa na Online TV.Mkuu acha kunionea mimi nipo Makoroboi hapa naelekea Igoma
Kocha nae, Bora angemueka okrah mzize aendelee kukaa centreHivi Huyu Gwede kuna mchezaji pale..?
Iliyowafunga 5 ni ipi?Hivi hawa ndo first eleven Yenyewe kasoro Aucho....ndo Wanaenda kuwakabili Mamelod.?
Mamelod wasije na mashabiki, sisi tupoHivi hawa ndo first eleven Yenyewe kasoro Aucho....ndo Wanaenda kuwakabili Mamelod.?
Kibabage ni uchochoro, angalia mipira yote inapitia upande wake, Lomalisa aingie kipindi cha pili.Kibabage huyo ila kwa eneo lile kuzuia ni lazima.
Ulivyoona mzize kakaaa centre?Kocha nae, Bora angemueka okrah mzize aendelee kukaa centre
Katibu nakuona nakuona unavyotetemeka 😂Nadhani ni huyu Kambi ya Fisi tu na daktari alishasema achululiwe vipimo vya akili
Nilijua tu pacome ataumizwa,hakutakiwa kucheza Leo,jeraha lile mamelod hacheziAzam wacheze Kwa upendo,haiwezekani makwanja kama Yale wanawapiga wenzao as if hawajui kua tuna Mamelod mbele yetu,au wamelipwa?
Maana bilashaka wawakilishi wa Mamelod wamo uwanjani kuangalia Yanga wanafanyaje.Siyo poa.
Mzizee 🤣🤣