FT: Azam FC 2-1 Yanga SC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 17.03.2024

FT: Azam FC 2-1 Yanga SC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 17.03.2024

Wanawasafishia njia masandawana
Watakuwa wamelipwa nini,hapa bado haja ingia Banyana,yule jamaa basi marefa wanamuachiaga ila kiukweli mechi nyingi za Yanga anatakiwa kumaliza na kadi nyekundu.
 
[emoji617][emoji617]MATCH DAY[emoji617][emoji617]

[emoji471] #NBCPremierLeague
[emoji460]️ Azam FC[emoji739]Young Africans SC
[emoji414] 17.03.2024
[emoji909] Benjamin Mkapa Stadium.
[emoji797] 02:30 Usiku
View attachment 2937034
View attachment 2937033
Leo Leo ndio leo kivumbi na jasho...

Azam wanaumana na Yanga leo 17.03.2024 muda ni kuanzia saa 2:30usiku.

Historia inaonyesha Yanga ameibuka mshindi mara nyingi zaidi timu hizi zinapokutana.

KIKOSI CHA AZAM FC
View attachment 2937488

KIKOSI CHA YANGA SC
View attachment 2937490


9' Mzizeeee
anaipatia Yanga goal la kuongoza!
0-1

18' Sillah
Goooooooooooal
anaipatia Azam goal la kusawazisha.
1-1

Daima mbele, nyuma mwiko!!
Jitu nimeanzisha Uzi afu haliweki updates
 
Mzize akitulia leo anaweza kupiga hata mawili mengine na Aziz anamwekea nyingi tu.
 
Back
Top Bottom