1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 9,552
- 13,090
Mi najua Azizi Ki hakuwa na tension ya kucheza faulo85' Ki anamchezea rafu mtasingwa
Weee kweli???Penati π€£
TuliaaYanga wamenizoesha vibaya!
Nishazoea kila siku wananifurahisha leo kufungwa kidogo tu Mapigo ya moyo yanaenda mbio!
Hawafungwi hawa!Mlitusema sisi maboya na nyie makolo yanga ni makolo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16] eti hatufungwi uongo tu
Hamna goal hapo.Refa ndiooo
+7πππ
Hahahahaha siwezi betia timu mbovu mimi hata siku 1Umeweka mkeka Yanga ashinde nini..
Kama umeweka hivyo bhasi cashout mkuu Hawezi kushinda