FT: Azam FC 2-1 Yanga SC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 17.03.2024

FT: Azam FC 2-1 Yanga SC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 17.03.2024

85' Ki anamchezea rafu mtasingwa
Mi najua Azizi Ki hakuwa na tension ya kucheza faulo

Hiyo yote imetokana na watu wanaomfananisha yeye na Chama

Jamaa anajikuta kwenye wakati mgumu wa kutaka kufanya vitu kwa usahihi na pale inaposhindikana ndio faulo kama hizo zinatokea.

Wakulaumiwa ni mashabiki wanaomfananisha na Chama
 
Mpira wa kupaki basi haujawahi kuwa ulinzi mzuri,azamu wanapigwa muda si mrefu
 
Back
Top Bottom