FT: Azam FC 2-1 Yanga SC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 17.03.2024

Je simba atamuweza yanga game ya pili?sio mnafurahi tu wakati hamna uwezo wa kumfunga Yanga.

Na je nani atatoa sare na Yanga?
 
Upuuzi mtupu wachezaji wanafatiki kubwa ..mchezaji Hana stamini ratiba iangaliwe upya...ona wakina kwasi...wakina pacome kidogo chali
Kale kasemaji kenu ka shoga kalikuwa kanaongea shombo sana juzi, eti Yanga haiwezi kuomba mechi zake ziahirishwe, anayeombaga hivyo ni Simba.

Kwa kuumizwa kwa Pacome plus Yao Yao naamini katakuwa kamepata akili.
 
Kuna yule manyanya
Yani yule ndo beki haswa

Alikua anabutua kama beki wetu wa chuoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘πŸ½

Yeye ni mbereeee

Ukija polepole ni mbereeee

Ukija na spidi anauweka gambani

unasubiri utofauti gani sasa wakati unajua kinachofata
Ni mbereeeeeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Simba hakutakiwa kabisa kufungwa game na Prison na hata game ijayo na Azam asifungwe wala kutoa sare hata game na Yanga iwe hivyo
Yanga ameshamalizana na Azam, bado Simba dhidi ya Azam
Fixture ya Yanga kabakiza mechi 10 dhidi ya Simba, JKt, Singida, Coastal, Mashujaa, Tabora, Kagera, Prisons, Dodoma jiji na Mtibwa.
 
Asiyekubali kushindwa si mshindani na ndio maana hakuna team ambayo haijafungwa mpaka sasa,,, tugange yajayo wananchi wenzangu.[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Yanga ameshamalizana na Azam, bado Simba dhidi ya Azam
Fixture ya Yanga kabakiza mechi 10 dhidi ya Simba, JKt, Singida, Coastal, Mashujaa, Tabora, Kagera, Prisons, Dodoma jiji na Mtibwa.
Umeelewa nilicho andika ?
 
Mpira umechezeka Azam wamecheza mpira mzuri jamani wacha tuwape hongera.
Japo lile goli la pili halikustahili kuwa goli pia Gamondi alifeli kumchelewesha Okrah na Lomalissa na Musonda.
Bado tupo kileleni Yanga FC tuelekeze macho yetu 30 March dhidi ya Masandawana.
Mpira una matokeo matatu,kushinda,kufungwa na sare.
Tugange yajayo ya leo tuachane nayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…