Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kale kasemaji kenu ka shoga kalikuwa kanaongea shombo sana juzi, eti Yanga haiwezi kuomba mechi zake ziahirishwe, anayeombaga hivyo ni Simba.Upuuzi mtupu wachezaji wanafatiki kubwa ..mchezaji Hana stamini ratiba iangaliwe upya...ona wakina kwasi...wakina pacome kidogo chali
Upo sahihi kabisa lazima ukweli usemwe huyu kipara hana tactics kabisa.GAMONDI hana tactics kabisa . In short he is not a good manager . Na Ligi anaweza asichukue
Yanga ameshamalizana na Azam, bado Simba dhidi ya AzamSimba hakutakiwa kabisa kufungwa game na Prison na hata game ijayo na Azam asifungwe wala kutoa sare hata game na Yanga iwe hivyo
Unajiona mjanja mwenyewe kutukana?Piga hayo maqumer
Kumbe hakana akili 🤣🤣Kwa kuumizwa kwa Pacome plus Yao Yao naamini katakuwa kamepata akili.
Kwani Yanga yeye nani? Si hata Azam mlikuwa mnasema hawezi kuwasumbua leo?Je simba atamuweza yanga game ya pili?sio mnafurahi tu wakati hamna uwezo wa kumfunga Yanga.
Na je nani atatoa sare na Yanga?
Umeelewa nilicho andika ?Yanga ameshamalizana na Azam, bado Simba dhidi ya Azam
Fixture ya Yanga kabakiza mechi 10 dhidi ya Simba, JKt, Singida, Coastal, Mashujaa, Tabora, Kagera, Prisons, Dodoma jiji na Mtibwa.
Hamna jamaa baada kutania vizuri yeye kaja kutukana hapo 😂😂😁Umekuwa mod tangu leo?
[emoji120][emoji120][emoji120]Poleni sana watani, wiki itaanza na utulivu.
HakikaPoleni sana watani, wiki itaanza na utulivu.
Mpira umechezeka Azam wamecheza mpira mzuri jamani wacha tuwape hongera.[emoji617][emoji617]MATCH DAY[emoji617][emoji617]
[emoji471] #NBCPremierLeague
[emoji460]️ Azam FC[emoji739]Young Africans SC
[emoji414] 17.03.2024
[emoji909] Benjamin Mkapa Stadium.
[emoji797] 02:30 Usiku
View attachment 2937034
View attachment 2937033
Leo Leo ndio leo kivumbi na jasho...
Azam wanaumana na Yanga leo 17.03.2024 muda ni kuanzia saa 2:30usiku.
Historia inaonyesha Yanga ameibuka mshindi mara nyingi zaidi timu hizi zinapokutana.
KIKOSI CHA AZAM FC
View attachment 2937488
KIKOSI CHA YANGA SC
View attachment 2937490
9' Mzizeeee
anaipatia Yanga goal la kuongoza!
0-1
18' Sillah
Goooooooooooal
anaipatia Azam goal la kusawazisha.
1-1
View attachment 2937598
51' Fei Toto
Goooooooooooal la pili kwa Azam FC
2-1
View attachment 2937599
Daima mbele, nyuma mwiko!!
Nchi imetuliaa.Poleni sana watani, wiki itaanza na utulivu.
Kale kapuuzi tangu kaajiriwe Uto akili ikawa vapour kabisa yaani.Kumbe hakana akili 🤣🤣