Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
Duh.Pakuma miezi kumi nje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh.Pakuma miezi kumi nje
Watu wamemjia humo humo wanataka wamuone akinyanyua kiswaswadu chake kama alivyozoea74' Mudathir anapiga shuti kali....Off-target
Kuna nini kwenye saa ya mwamuzi jamani?75' bado dk 15...Azam wanazuia vizuri ...fei anaondoka na mali....throw in
Huyo ndio hamna kitu kabisa yuko hapo ku buy time tu75' mzize anabutua ovyo hapa...goal kick
Pengo la Fei Toto limeanza kuoneka Uto[emoji617][emoji617]MATCH DAY[emoji617][emoji617]
[emoji471] #NBCPremierLeague
[emoji460]️ Azam FC[emoji739]Young Africans SC
[emoji414] 17.03.2024
[emoji909] Benjamin Mkapa Stadium.
[emoji797] 02:30 Usiku
View attachment 2937034
View attachment 2937033
Leo Leo ndio leo kivumbi na jasho...
Azam wanaumana na Yanga leo 17.03.2024 muda ni kuanzia saa 2:30usiku.
Historia inaonyesha Yanga ameibuka mshindi mara nyingi zaidi timu hizi zinapokutana.
KIKOSI CHA AZAM FC
View attachment 2937488
KIKOSI CHA YANGA SC
View attachment 2937490
9' Mzizeeee
anaipatia Yanga goal la kuongoza!
0-1
18' Sillah
Goooooooooooal
anaipatia Azam goal la kusawazisha.
1-1
Daima mbele, nyuma mwiko!!
Wasije wakawapa watu cha kuongeaAzam hawakabi pumbavu kabisa
Na sijui kwanini wanamuonea aibu azizi ki tunataka ngalau wakipige kidole chake kidogo.cha mguu kivimbeNilijua tu pacome ataumizwa,hakutakiwa kucheza Leo,jeraha lile mamelod hachezi